Recent content by Koloko

  1. Koloko

    JamiiForums Tanzania Dudu baya apewa simu na milion Moja kama pongezi ya kukemea ushoga

    Dudu baya haingii ndani kwa mtu anae itwa mwamba bei minyodo.. kwenye operation ni 🔥
  2. Koloko

    JamiiForums Tanzania Wi-fi tumenunua na wote unabadilisha password kisa mwezi mmoja sijalipia

    Hiz huwa shingap unlimited data
  3. Koloko

    JamiiForums Tanzania Wi-fi tumenunua na wote unabadilisha password kisa mwezi mmoja sijalipia

    Nisinge andaa hii thread 😁
  4. Koloko

    JamiiForums Tanzania Wi-fi tumenunua na wote unabadilisha password kisa mwezi mmoja sijalipia

    Mzee wangu awezi akawa mwenyenyumba mkuu mzee wangu yeye anaishi kinyerezi na ndo ananyumba za kupangisha mimi najitegemea nimepanga Hiyo ndo solution
  5. Koloko

    JamiiForums Tanzania Wi-fi tumenunua na wote unabadilisha password kisa mwezi mmoja sijalipia

    Mzee wangu awezi akawa mwenyenyumba mkuu mzee wangu yeye anaishi kinyerezi na ndo ananyumba za kupangisha mimi najitegemea nimepanga banana
  6. Koloko

    JamiiForums Tanzania Wi-fi tumenunua na wote unabadilisha password kisa mwezi mmoja sijalipia

    Uko sahihi kabisa mkuu
  7. Koloko

    JamiiForums Tanzania Wi-fi tumenunua na wote unabadilisha password kisa mwezi mmoja sijalipia

    Unakosea me kumjibu mtu shombo ningumu alfu ishtoshe mwanzo tulikuwa tunaongea fresh mpka kufikia hatua hiyo ya kununua Router ila yeye akaji binafsisha kisa mimi nili shindwa kuchangia mwezi mmoja
  8. Koloko

    JamiiForums Tanzania Wi-fi tumenunua na wote unabadilisha password kisa mwezi mmoja sijalipia

    Naanawapa password ata ambao awajalipia asa kunaaja gani ya mimi kunilipisha na nnahisa zangu
  9. Koloko

    JamiiForums Tanzania Wi-fi tumenunua na wote unabadilisha password kisa mwezi mmoja sijalipia

    Nikweli kabisa mkuu
  10. Koloko

    JamiiForums Tanzania Wi-fi tumenunua na wote unabadilisha password kisa mwezi mmoja sijalipia

    Asante kwa ushauri mkuu
  11. Koloko

    JamiiForums Tanzania Wi-fi tumenunua na wote unabadilisha password kisa mwezi mmoja sijalipia

    Hatukuweka makubariano upande wa kubadilishiana password
Back
Top Bottom