Recent content by KOKUSAWA

  1. K

    20 signs that Relationship is DEAD!

    Sielewi kule mwanzo mwana jf Ameuliza unaweza kufufua mapenzi ulikua unauliza swali au ulitaka watu wajadili mwana JF?Maana chini tena umesema yamekuwa yesu yafufuke?msitumie dini kuongelea mambo ya malove kwani kwa Yesu kila kitu kinawezekana,hata kuzaliwa upya mapenzi kwa kumtanguliza...
  2. K

    20 signs that Relationship is DEAD!

    Mapenzi kama yapo ya kweli nenda mbele rudi nyuma yatarudi tu,as long as you love each other,otherwise kama mwenzio ana mipango mingine au yeye ni kawaida yake kuacha na kuchukua mpya kila kukicha,lakini why uanze uhusiano mpaya wakati mnaweza ku sort out your diffences?itakua kila siku wewe mtu...
Back
Top Bottom