Wabongo ndo maana hamuendelei, hilo la dc wa Korogwe uzushi ulio uchi..... nendeni Tegeta anakoishi huyo mama na mumewe ndo mtakapothibitisha UMBEYA WENU USIO NA AIBU!!! Kujenga nyumba ya ghorofa kwa mwandishi ni kitu cha ajabu? Mnamdhalilisha mumewe wakati wamejenga nyumba hiyo pamoja na mkewe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.