Recent content by Kohelethi

  1. K

    JamiiForums Tanzania Polepople: Cuba mtungi wa gesi wa kilo 20 unauzwa TZS 2,000/=. Tanzania unauzwa 55,000/= TZS.

    Kwetu wangeweka hata 10,000 tu miti ingepona sana
  2. K

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Siku napigwa risasi Paul Makonda alikuwa Dodoma

    Ni muhusika na Hawa ndiyo waliofanya magufuri asiishi mda mrefu kwenye urais. Walichangia kumshauri mashariti mabovu. Ajabu akataka kumwambia magu watu wanaotaka kumuuwa ni watu wake wa karibu ambao ndiyo waliomwinua makonda kwa Mara ya kwanza baada ya kumpiga mzee walioba
  3. K

    JamiiForums Tanzania GE2025 Polepole, Asante kwa ukweli wako kuhusu kiini macho cha Uchaguzi. Hoja ya tusishiriki, haina tija tena na Uchaguzi Upo!

    Alitakiwa kunyamaza kuliko kuunga mikono kinachoendelea. Mayala anajiingizaga katika uovu kirahisi sana. Mayala hii ni DHAMBI kaa nayo mbali
  4. K

    JamiiForums Tanzania Asante sana Polepole hili ulilozingumza leo ni zito sana umelisanua Taifa juu ya Chaguzi feki, na vyama feki

    Hii ndiyo maana kila mpinzani wa kweli nchi hii ataumizwa
  5. K

    JamiiForums Tanzania Habari za Lissu zinatembea kama mabua yaliyochomwa moto

    ilq unahisi Mungu yupo kwenye Upumbavu wenu wa kubambikiza kesi za uongo watu?. Au alikuwa pamoja nanyi wakati mnampiga Lisu risasi dodoma?.
  6. K

    JamiiForums Tanzania CCM imeshindwa kumuua Lissu kwa risasi, imeamua kumuua kupitia mahakama

    Acha tu mkuu
  7. K

    JamiiForums Tanzania CCM imeshindwa kumuua Lissu kwa risasi, imeamua kumuua kupitia mahakama

    Mahakama kukubali kuendesha kesi gizani ni kukubali kuwa sehemu ya uovu wa waovu. Mahakama imeuza heshima na haki na kujivisha Uovu
  8. K

    JamiiForums Tanzania WanaJF, Nawaahidi mashahidi wa Siri wa serikali tutawaweka wazi taarifa zao baada tu ya kutoka kutoa ushahidi

    Jaribu utajua Kama keyboard. Unawaza kuuwa kitu kigumu sana siyo?. Kama zinakuenea kichwani kwanini Mungu alikataza kulipa kisasi?. Sababu alijua kufanya uovu kwa mwanadamu ni kitu rahisi kwake kuliko haki na mema. Alijua hakuna anayeshindwa kukipa kisasi. Kwa Zakaria tarime mlilia Kama watoto...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Mahakama ipige Marufuku Watu kuingia na Simu au Kifaa chochote cha kurekodi ,kupiga picha au kuchukua Matukio katika kesi Ya Lissu

    Mahakama au mavi?. Mahakama inakubali kuwa gizani Kuna mahakama hapo?.
  10. K

    JamiiForums Tanzania Mahakama yakataza rasmi Vyombo vya Habari kurusha live au kuripoti kesi ya Lissu

    Mahakama imeanza kuwa takataka. Mnyongeni mtimize ushetani wenu. Hayo ya gizani Mungu atayaweka wazi. Zama za UOVU MAHAKAMANI. AIBU AIBU AIBU. SHETANI AMETAMALAKI KWENYE MIHIMILI YOTE SASA. SERIKALI ilimpiga risasi BUNGE lilimtoa bungeni asiwe mbunge MAHAKAMA inataka kufanya kazi...
  11. K

    JamiiForums Tanzania WanaJF, Nawaahidi mashahidi wa Siri wa serikali tutawaweka wazi taarifa zao baada tu ya kutoka kutoa ushahidi

    Mimi nakufa na mtu siendi peke yangu ukija jipange kwenu kuweka matanga
  12. K

    JamiiForums Tanzania WanaJF, Nawaahidi mashahidi wa Siri wa serikali tutawaweka wazi taarifa zao baada tu ya kutoka kutoa ushahidi

    Wala aiongozwi na ushetani wenu wa kutesa na kuteka na kuuwa watu.
  13. K

    JamiiForums Tanzania WanaJF, Nawaahidi mashahidi wa Siri wa serikali tutawaweka wazi taarifa zao baada tu ya kutoka kutoa ushahidi

    Wewe ni zezeta tu. Ukujua Kama utapigwa Hilo swali si ndiyo.
  14. K

    JamiiForums Tanzania Ni aibu kwa Tundu Lissu kutaka kujadili maamuzi ya mahakama kuu akiwa mahakama ya mwanzo leo

    Usijipake ujinga uwezi kupambana na Lisu kwenye Sheria. Nani amuonee huruma nyinyi mbwa mliompiga risasi?
Back
Top Bottom