Necta iweke wazi yafuatayo kwa wanaohusika. ikizingatiwa kazi ngumu sana
1.per script ni sh ngapi?
2.muda sahihi wa kufanya kazi niliwahi pita centa moja markers wengi walilalamika kama wapo guantanamo bay.Kufanya kazi mda mrefu ili kumaliza mapema kabla ya sikukuu ni jambo jema ila ufanisi...
sasa mara kwanza haya huwezi yaona kuna centa moja mwaka jana ilikiwa bukoba nadhani na mwaka huu ipo com pale kuna ukabila uliopitiliza haya tunayoongea tuna ushaihidi nayo mkuu
nachokizungumzia kuna kitu hukielewi watu wanaweza wakafanya hayo lakini ikumbukwe kuwa pale kuna wake za watu na wanaume za watu.
pia upande wa wanawake wamekuwa wamekuwa wakipigwa mambo kwa kuaidiwa kwamba watakuwepo kila awamu. hebu baraza lirudishe hazi yake
tatizo ni wenyeviti wa pannel ambao wameendekeza ukabila na mjuano.kwa sababu wenyeviti wa pannel wanausika katika ku screen markers na wamekua wala rushwa wazuri ya pesa na ya ngono.
mitihani ya form two isahihishwe kikanda kama zamani
mwaka 2023 fulani nilipita pannel ya chemistry kuna jamaa aliniambia tangu 2007 yeye anafanyq kazi zote form 4 and 6 sasa swali inaamana hakuna wengine wanaweza kufanya.Na mwingine mwaka jana hawakumwita wakadhani wamemsahau akaenda mpk katika centre wakamwambia jina halipo.
haya ndio mambo nayazungumzia inahitajika reforms na wakusimamia hili ni baraza la mitihani la mitihani wenyewe
utaratibu unaotumika ni wa kikanjaaa ingiza watu kabila lako wengi wape vyeo
kuna watu necta wameshaifanya kama baraza lao hasa hao watu wa mara na wachaga
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.