Petition na campaign ya wamasai imefanyika globally, amkeni na hadithi zenu za kiswahili, press release ikiwa kwenye kiswahili hata hao wamasai hawaielewi bado kwani ilibidi iwe kwenye kimasai. Tatizo la wengi ni kukosa common sense reasoning, kilicho muhimu ni chuki binafsi. Dunia haiongei...
Acheni chuki za binafsi. Huyo Kagasheki amekuta matatizo ya Loliondo yapo na amekuwa waziri wa maliasili na utalii kwa miezi 10 sasa. Si Rais au Kagasheki waliogawa hiyo sehemu kwa hao wawekezaji, wanaonewa, matatizo wameyakuta wanatafuta suluhu ila kwa quick thinking and hating, they are both...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.