Kifaa bado hakijaingia kwenye mfumo wa TANESCO, kitu ambacho nimefanya ni kukiweka kwenye majaribio na kikaonekana kua kinafanya kazi, zaidi kinahitaji maboresho baada ya hapo ni urasimishaji wake ikiwemo kupata ridhaa ya makampuni na mifumo kama TANESCO.
Kwa kifupi kipo katika hatua zake za...
Ni kweli mkuu, mfumo ukiboreshwa zaidi ya hapa utasaidia sana katika utatuzi wa hizi changamoto za malipo ya bili sio tu za umeme, bali hata za maji hasa kwenye makazi ya wapangaji wengi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.