Mtoa post huna akili kabbisa , yaani wewe ni myopia kwa hiyo unaamini Tanzania ni DSM pekee yake,kijijini kwenu bagamoyo au huko mashenzini ndiyo ccm tupu
Siasa za Afrika mashariki hususani Kenya na Tanzania ni tofauti sana na nchi nyingine afrika, mwaka 2002, aliyeitwa profesa wa siasa za Kenya Mzee Daniel Arap Moi alishuhudia anguko kubwa la KANU baada ya kukaidi aliyoelezwa na watu wake kuwa mgombea anayemtaka ambaye sasa ni rais wa kenya Uhuru...
Kila mwaka Tanzania kuna sherehe ya kumbukumbu ya mashujaa, huwa tunawakumbuka mashujaa wetu kati nyanja mbalimbali.
Tangu mwaka 2012 nimekuwa nikitaja mashujaa wangu wa mwaka , nikiwa na best wangu kipenzi Mtela Mwampamba na Dotto Rangimoto Chamchua, kimeta Wa Mpui na boss wa tanuru kipindi...
Muwe mnajadili vitu vyenye akili , huyu naye anajiita great thinker kwa kusoma e mail ya kutengeneza tena yenye font tatu tofauti , sidhani kama kaka ulisoama hata std 7
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.