Recent content by kkarumekenge

 1. K

  Juma Nkamia: Nimelazimika kuondoa kwa muda hoja yangu binafsi ya ukomo wa Urais

  Hongera sana kwa kugundua kwamba hoja yako ilikuwa ni kuliingiza bunge katika ujinga uliotukuka
 2. K

  Vyombo Vya Habari Vya Tanzania, Havina Uwezo wa Uchambuzi wa Habari, News Analysis-Jicho Letu

  Ndugu yangu Mayalla, ni kweli lakini uchambuzi makini na huru unafanyika katika jamii iliyo huru vyombo vya habari vikiwemo. Kwa mazingira ya sasa inakuwa vigumu, iwe kwa mwandishi mwenyewe, mhariri au mmiliki wa chombo husika. Pili kuna hili la kujipendekeza, ambayo ni kansa ya Afrika. Mtu kama...
 3. K

  Vyombo Vya Habari Vya Tanzania, Havina Uwezo wa Uchambuzi wa Habari, News Analysis-Jicho Letu

  Ndugu yangu Mayalla, ni kweli lakini uchambuzi makini na huru unafanyika katika jamii iliyo huru vyombo vya habari vikiwemo. Kwa mazingira ya sasa inakuwa vigumu, iwe kwa mwandishi mwenyewe, mhariri au mmiliki wa chombo husika. Pili kuna hili la kujipendekeza, ambayo ni kansa ya Afrika. Mtu kama...
 4. K

  Jerry Muro: Urais wa Kizalendo ni mgumu Tanzania

  Ulidukua akaunti za viongozi benki? Umejipendekeza kiasi cha kujisahau, sasa utakwenda jela.
 5. K

  Je, kuna ukweli watu wafupi wana inferiority complex hivyo kukasirika sana wanapohisi kudharauliwa?

  Mayalla, nimecheka sana. Ila huenda yanayotokea bungeni yanasababishwa na maumbile yetu.
 6. K

  Taarifa ya pongezi kutoka CCM kwa ndg Turky kwa utu, upendo na mchango, kuokoa maisha ya Tundu Lissu

  Sijawahi kusoma ujinga kama huu tangu nizaliwe. Kweli siasa ni aina ya uwenda wazimu.
 7. K

  Spika Ndugai: Nimwambie Zitto, nina uwezo kumzuia kutozungumza Bungeni chochote miaka yote ya Bunge

  Kwa asili binadamu ni dikteta mpaka awekewe taasisi za kumdhibiti.
 8. K

  Dhana ya Rais Magufuli kusamehe kunyonga 500 inapwaya

  Na je, katiba na sheria zetu zinasemaje?
 9. K

  Dotto Bulendu: Haya ndio maisha ya Tundu Lissu ya Mikikimikiki Sekta ya Madini

  Bulendu, kwa sasa sina comment, labda baadaye!
 10. K

  Sakata la Lissu: Zitto Kabwe na Saed Kubenea waitwa Kamati ya Maadili ya Bunge

  Hivi wakati wa mchakato wa kuwania nani agombee Urais, Mheshimiwa sana Bw Job Ndugai alikuwa kambi gani vile? Tujikumbushe
 11. K

  Jaji Lubuva: Hakuna lolote jipya la kujifunza kutoka katika uchaguzi wa Kenya

  hivi ana umri wa miaka mingapi? au hiyo tume ni kwa ajili ya wazee tu?
 12. K

  SERIKALI: Kimara, Msimbazi tutabomoa nyumba 18,300. Mikoani waanze kujiandaa kisaikolojia

  SAWA, MNAFUATA SHERIA. LAKINI NI VYEMA MKATAWALIWA NA BUSARA NA HEKIMA KWA KUONA JINSI MTAKAVYOTESA RAIA WENU. WAPELEKEENI HUDUMA NA MNAWEZA KUWAPANGA, LAKINI UAMUZI WA KUVUNJA NYUMBA 17,000 ZA RAIA SI UAMUZI WA BUSARA.
 13. K

  Fred Mpendazoe: Siwaelewi Tundu Lissu na CHADEMA

  Habari za CCM, ndivyo ulivyojeruhiwa kiakili kiasi hiki? Kweli njaa mwisho wa yote, kuna nafasi moja ya U-DC huko Tabora huenda ukabahatisha.
 14. K

  Sakata la Mchanga: Naibu Waziri wa Nishati na Madini kaponaje?

  malizia kwamba ndiye alikuwa bosi wa sheria hapo wizarani,yeye ameponaje
 15. K

  Mwigulu awajia juu Chenge, Werema

  Mwigulu, aibu hii! Nikiulizwa leo watu ambao wanakiwa waangamizwe kwenye sayari hii, napendekeza WANASIASA. Ndiyo taaluma pekee duniani ambayo kusema uongo siyo kosa!!!! Tena unasema uongo, huku ukishangiliwa
Top Bottom