Recent content by Kk02

  1. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta fundi masofa

    Habari wanaJF mimi ni mfanyabiashara wa kutengeneza masofa natafuta mafundi wawili wa kuvesha makochi na wakushona vitambaa vya makochi mwenye ujuzi huo tafadhali anipigie kwa namba hii 0768078727 au aniPM. Asante! Sent using Jamii Forums mobile app
  2. K

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum kwa 'vitu used'

    T nauz kitanda na godoro laki4
  3. K

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum kwa 'vitu used'

    Nauza kitanda na godoro 5 kwa 6
  4. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta fundi rangi na fundi seremala

    Umenishikia bango kwan ukiwa new member au new id kinaharibika nini[emoji38]maana naona mapovu kama yote...haya nawasubiri Sent using Jamii Forums mobile app
  5. K

    JamiiForums Tanzania New member

    Woiii sasa nimebisha nini?nimemwambia achague atakachoamua kati ya new member na new id[emoji38] Sent using Jamii Forums mobile app
  6. K

    JamiiForums Tanzania New member

    Ke ke ke alafu Me mwisho Sent using Jamii Forums mobile app
  7. K

    JamiiForums Tanzania New member

    Niko jamii forum au uhamiaji? Sent using Jamii Forums mobile app
  8. K

    JamiiForums Tanzania New member

    Chagua Sent using Jamii Forums mobile app
  9. K

    JamiiForums Tanzania New member

    Asante dear Sent using Jamii Forums mobile app
  10. K

    JamiiForums Tanzania New member

    Habari zenu wakuu mm mgeni natumaini tutashirikiana pamoja katika jamii hii nimefurah kuwepo hapa[emoji4] Sent using Jamii Forums mobile app
  11. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta fundi rangi na fundi seremala

    Natafuta fundi seremala mchapa kazi ambae tunaweza kuanza kufanya kazi wote kwenye biashara yangu mpya ambaye yuko interested aniPM tuzungumze.Asante Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom