Navuta picha miaka ya nyuma kidogo jinsi mahusiano ya mtu mmoja mmoja bila kujuana dini wala kabila kwenye vyombo vya usafiri hasa hasa safari za mikoani yalikua hayana kutiliana shaka kamwe.
Cha kushangaza siku hizi mahusiano yamevurugika na kupoteza uaminifu kabisa mpaka tunafikia hatua ya...
MAZOEA YANAVYOONGEZA MIGOGORO YA ARDHI TANZANIA
Ni siku nyengine tena napata wasaa wa kutembelea ndani ya viunga vya mahakama ya Ardhi ndani ya mkoa wa Morogoro kikubwa kinachonileta hapa ni kuja kushuhudia shughuli za kila siku na pia kuja kumtembelea rafiki yangu ambaye ni karani hapa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.