Recent content by kiumbebutu

  1. kiumbebutu

    JamiiForums Tanzania Majibu ya rafiki yangu baada ya kumuuliza Siri ya mafanikio yake

    Plan B nipe connection mkuu
  2. kiumbebutu

    JamiiForums Tanzania Tuchambue kwa upana Part 1 ya interview ya Jesca Magufuli na Millard Ayo

    Jina nimemsahau mahi😀😀😀 na sasa hivi utamkuta katoboa ...life is not fair at all
  3. kiumbebutu

    JamiiForums Tanzania Tuchambue kwa upana Part 1 ya interview ya Jesca Magufuli na Millard Ayo

    Huyu alisoma kayumba...though hata yy alifeli pi...aliyekywa st. Mathew ni WA mzee wa msoga
  4. kiumbebutu

    JamiiForums Tanzania Dhambi za kufanya ziko nyingi ila hii ya kutelekeza mtoto achana nayo!

    🤣🤣🤣🤣Punguza hasira mkuu
  5. kiumbebutu

    JamiiForums Tanzania Mwenye uelewa na TIC (Tanzania Investment Centre) ni kamilishe usajili wa kiwanda

    Kwa hiyo utaajirije boss kana unaogopa waomba kazi mapema
  6. kiumbebutu

    JamiiForums Tanzania Tabia ya Hawa wafanyakazi wenzangu, inaninyima raha

    Sasa utateseka Hadi lini...!?? Ndio upendo wa mshumaa sasa huo...unataka uwaridhishe wengine huku wewe unaumia....endelea kujinafikia nafsi Yako....unatafuta pesa Yako then pesa Yako ikutese huo unafiki kwangu hauna nafasi
  7. kiumbebutu

    JamiiForums Tanzania Tabia ya Hawa wafanyakazi wenzangu, inaninyima raha

    Mimi nashangaa sana watu wenye vitu vyao halafu vinawatesa....kwanini usijisikie huru na Mali yako!??? Mimi bhana upendo wa mshumaa Sina kwamba niwake huku nateketea hiyo big noo...kama ni Mimi ningewaambia TU nikitoka kazini siendi home Moja kwa Moja Niko na ratiba zangu nyingine....nani...
  8. kiumbebutu

    JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu mjamzito ila nimeambiwa kundi lake la damu haliendani na langu

    Si uende hospital kea maelezp zaidi..Hadi napata hasira kama vile Mimi ndio mwenye mimba Yako..pesa hutaki kutoa! Kuelewa ni mgumu! Nrnda hospital wewe na mywako ili mpate elimi vizuri
  9. kiumbebutu

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mwanaume huwa anakataa mimba/ujauzito?

    Ninavyoongea hapa Niko na kibendi jamaa kasema hataki mtoto,,yaani hana doubt yoyote ana uhakikq mimba ni yake ila kasema hajawahi kuwaza kuzaa na Mimi...alikuwa amenitamani tu kwa sex😓😓😓😓
  10. kiumbebutu

    JamiiForums Tanzania Roho Mtakatifu ndiye suluhisho la kudumu la matatizo ya mwanadamu

    Anza somo kiongozi Nishashika notebook na pen tayari
  11. kiumbebutu

    JamiiForums Tanzania Kuna watu wanabaraka sana ukiwasaidia mambo yako lazima yanyooke kwa kasi ya ajabu

    😀😀😀😀Nimekutumia pm
  12. kiumbebutu

    JamiiForums Tanzania Kuna watu wanabaraka sana ukiwasaidia mambo yako lazima yanyooke kwa kasi ya ajabu

    Mimi ni zaidi ya dogo...jaribu kutuma uone 😀Mimi hata nikinunua kitu kwa biashara ya mtu ...jua kabisa hiyo siku ni njema machoni pa huyo mtu
  13. kiumbebutu

    JamiiForums Tanzania Unapiga side hustle gani kukuingizia kipato?

    Hamna utofauti inategemea TU na mazingira inapotumika....kwa mfano ukiwa kwenye bidhaa mpya masokoni hasa hasa kariakoo winga ndio hutumika sana...ila ukija kwenye uuzaji wa mashamba, magari na vitu vingine used labda dalali ndio hutumika zaidi
Back
Top Bottom