Wakuuu na gari aina ya passo sasa majuzi wakati naendesha ikaanza kupiga makerere na kutetemeka mwanzoni nlijua labda kwa kua mafuta yalikua kidogo, nlivyo weka bado tatiz likiendelea mara hii ata gari imekua aina nguvu kabisa ata ukikanyaga mafuta inatembea mwendo mdogo tofaut na awali, tatizo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.