Recent content by Kitumbeini

  1. K

    JamiiForums Tanzania KERO Malalamiko kwa LATRA Arusha, kwa nini abiria wa Arusha wanatozwa Sh1,000 wakati nauli inayotajwa ni Sh700?

    Nina malalamiko yangu kwa LATRA, hususan kuhusu nauli za usafiri wa daladala jijini Arusha. Mara ya mwisho nauli ilipopanda kutoka Sh600 hadi Sh700, nilitarajia mabadiliko hayo yangezingatiwa pia katika utozaji wa nauli jijini Arusha. Hata hivyo, hapa Arusha abiria wanatozwa Sh1,000. Unapodai...
Back
Top Bottom