Recent content by Kitukwa boy

  1. K

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha nyanya msimu wa 2021/2022

    Nakubali kaka, kuhusu mbolea tokea nimeanza natumia ya kuku mpaka leo hii na mzigo now umefikia hapa....Ila kwa zao la nyanya madawa ni muhimu hususani za wadudu la sivyo unaweza toka patupu....Mungu ni mwema
  2. K

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha nyanya msimu wa 2021/2022

    Mimi ni mara ya kwanza, changamoto kubwa nilizokumbana nazo ni ukungu, kuna kipindi kantangaze alitaka kunilaza na viatu lakini nashukur Mungu Sasa mambo yanaenda vizur....panapo majaliwa ya Mungu mwezi ujao mwanzoni naanza kuvuna
  3. K

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha nyanya msimu wa 2021/2022

  4. K

    JamiiForums Tanzania Matokeo makubwa kwa wakulima wa nyanya Tanzania

    Naombeni kujua ni booster gani ya matunda nu nzuri, nyanya yangu imefikia hatua hii, pia naomba kujua dawa nzuri ya kuua wadudu wa kantangaze
  5. K

    JamiiForums Tanzania Kilimo kinalipa kama ukikifanya kama kazi

    Nashukuru kwa muongozo mkuu
  6. K

    JamiiForums Tanzania Kilimo kinalipa kama ukikifanya kama kazi

    Habarin Wana Jf, naomba msaada wa upatikanaji wa wanunuzi wa nyanya....nategemea KUVUNA mwanzoni wa mwezi wa KUMI panapo majaliwa, ukubwa wa shamba ni hekari moja, mbegu nilizotumia ni ASILA F1 na IMARA F1 nilichanganya mbegu japo nilizipanda kwa utofauti ili kujua mbegu Bora kwa msimu...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha nyanya msimu wa 2021/2022

    Habarin Wana Jf, naomba msaada wa upatikanaji wa wanunuzi wa nyanya....nategemea KUVUNA mwanzoni wa mwezi wa KUMI panapo majaliwa, ukubwa wa shamba ni hekari moja, mbegu nilizotumia ni ASILA F1 na IMARA F1 nilichanganya mbegu japo nilizipanda kwa utofauti ili kujua mbegu Bora kwa msimu...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta soko la nyanya maji

    Habar Wana Jf, Kama heading hapo juu inavyojieleza, naombeni msaada wa kujua wapi naweza uza nyanya kwa Bei nzuri. Nataraji kuvuna katikati ya mwezi wa tisa, ukubwa wa shamba ni hekari moja, mbegu niliyoipanda ni ASILA F1. Eneo nilipolimia ni Bagamoyo. Karibuni sana
Back
Top Bottom