Ameni
Tumeanzia hospili ya icc tukaandikiwa hospitali kubwa ya mount meru
Wakampima tukaandikiwa hospitali ya moyo ya jk napo tulienda alipimwa kila kitu Ila hawakumkuta na shida yyte japo kwa Arusha tuliambiwa moyo wa mtoto upo sehemu ambayo siyo yenywe
Tukarud Arusha bila suluhisho...
Nina mtoto wa kike ana MWAKA na mwezi 1 alizaliwa akiwa na changamoto ya kulia sana
Tulimuona Dr mara kadhaa
Dr wengi hawakuona ugonjwa Ila baadae tuligundua ana TB ya mapafu alipata matibabu Ila bado afya yake bado imedhoofika sana tumempa kila aina ya lishe
Ila bado uzito wake ni ule ule pia...
Habari za muda Wana jf
Poleni na hongereni kwa pilika za kutafuta mkate
Nina kuja kwenu nikiwa na changamoto ya mtoto
Nina mtoto WA kike ana miezi 9
Tangu azaliwe analia muda wote hata akinyonya bado analia tu muda mwingine anakuwa halii Ila anatoa sauti ya malalamiko hanyamazi kabisa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.