Recent content by kitaz

  1. K

    Msaada plz

    nimeenda kupima nkakutwa na typhoid,minyoo,malaria..Hivi kunywa dawa za minyoo+malaria+typhoid kuna tatizo?
  2. K

    Msaada plz..

    Jaman jana kuna ndgu yangu ana miaka 21 kwa mara ya kwanza kazirai na kinachonshangaza alitoa povu kdg mdomon et hcho n kifafa?na alikua hajawah kuzirai tangu azaliwe..msaada kwa anayehamu please.
  3. K

    Kam college of health science

    Jaman kwa anayejua chuo hiki wanaanza masomo lini msaada plz
  4. K

    clinical medicine,medical lab-Eckernforde tanga university

    nimeona mkuu sema hawajaonesha kama kipo registered
  5. K

    clinical medicine,medical lab-Eckernforde tanga university

    kuna jamaa anaxema eti wanadai sasa hv wameshasajiliwa chini ya nacte na walitangaza kwenye gazet la mwananch september 19
  6. K

    Wanajf wapi nitapata nafasi ya kujiunga na kozi ya Clinical officer.

    hao eckernforde ndio wanadai wamekamilisha registration?
  7. K

    Laboratory technician

    naweza kupata webste zao
  8. K

    Laboratory technician

    nataka kupga Medical laboratory science
  9. K

    clinical medicine,medical lab-Eckernforde tanga university

    Wanafunzi walorudishwa n wa mwaka wa ngap?
  10. K

    Laboratory technician

    Duh nashukuru xana kwa maelezo yako yaliyojitosheleza!
  11. K

    clinical medicine,medical lab-Eckernforde tanga university

    Jaman mwenye ufahamu juu ya chuo hk,ni kizur?kimesajiliwa? Na gharama kwa ujumla. ntashukuru kupata msaada
  12. K

    Laboratory technician

    Anhaa na btn medical.lab vs biotechn. Ip inamaslah zaid endapo ukifaulu vyema
  13. K

    Kam college of health and science

    Napga simu haipokelew,kwa hyo fee structure per year
  14. K

    Laboratory technician

    Duh thanx dr.hb ,en ukpga lab.technnology unauwezo wa kuspecialize xehemu mfano. Wanaofanya kaz kwne hoxptalin na viwanda
  15. K

    Kam college of health and science

    Jama kwa anayekijua chuo hiki,vp ni kizur katika swala zima la kitaaluma na gharama zake pia
Back
Top Bottom