Recent content by kita_jr

  1. kita_jr

    Wanaume kwa wanawake njoeni tusaidiane hapa

    Anakufanya wa akiba anae mtu anamsikilizia huyo akizingua nafasi utapewa wewe..ndo maana yupo kati kwa kati na ndo maana itachukua muda kkukubali na utakuta uyo men wake bado anashikilia kombe ataki kuachia
  2. kita_jr

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Daaaah nimecheka kifala sanaa[emoji23]
  3. kita_jr

    Maisha ya sasa Mwanaume na Mwanamke ni maadui wakubwa, tusitegemee tena ndoa kudumu

    Kuna utajiri mikononi mwako kaangalia mbali ataki kuiacha iyo fursa
  4. kita_jr

    Maisha ya sasa Mwanaume na Mwanamke ni maadui wakubwa, tusitegemee tena ndoa kudumu

    Uko kote ulikua unazunguka lengo lako kuu ni kuzungumzia mapenzi ya jinsia moja
  5. kita_jr

    Naomba Ushauri, nimefilisika baada ya kuoa!

    Nilioa na kipato changu akikua kikubwa nilinunua mtungi mdogo wa gesi unga kilo tano kwa weak mbili na kwa siku naacha elfu 5 tukimiss wali tunanunua mchele kiasi chake na maisha yalienda poa nikatafuta kiwanja na nikajenga japo aijaisha ila nina kwangu...kuhusu kodi majukumu kuzidi aangalie tu...
  6. kita_jr

    Mume wangu mtarajiwa ni mwanaume katili

    Mama yangu aliwai niunguza mdomo na kijiko cha moto mdomoni sababu kubwa nilitukana...na nilikoma na alikua ananibutua sababu tofaut nikichelewa kurudi nyumbani sijakula nyumbani nimekaidi nilichotumwa hakuna onyo kubwa ni kupigwa tu...na mwanangu atapitia haya niliopitia mimi yakaniweka kwenye...
  7. kita_jr

    Kakosa Mume wa ndoto yake: Mdogo wangu wa mwisho kakosa mume kisa ana mtoto

    Mimi nina mtoto ila siwezi kuoa mwanamke mwenye mtoto kwa kweli mungu anisaidie
  8. kita_jr

    Ni mazingira gani ya hatari ambayo umewahi kufanya mapenzi?

    Jukwaa la kilimo hujaliona master!
  9. kita_jr

    Najiandaa kumhalalisha mchepuko kuwa mke kisha nimtimulie mbali mke ananikosea adhabu sana

    Muoe uyo baba uyo ndo mwenyewe..zamaradi ni mdogo lakini ana watoto wanne...uyo ana watano ukiongeza wako watatu chap chap mnakaa kwenye mstari iyo ndo njia ya utajiri bro
  10. kita_jr

    Haya mapenzi sio ya kawaida jamani

    Usione mtu anang'ang'ania mtu kuna mambo mengine aya elezeki[emoji23]
  11. kita_jr

    Je, mapenzi yanaweza kuishi bila mawasiliano ya kimwili?

    Bila ya kukutanisha vikojoleo hamuwezi kuendana kihisia..mnapokutana kimwili mnabadirishana bond ya nguvu kimwili na kihisia
  12. kita_jr

    Mambo hubadilika mkishaoana na kuanza kuishi pamoja

    Japo sijamaliza kuisoma yote ayo maelezo ila suala hapo ni kuacha mazoea..mahusiano ya ndoa mkiacha kuzoeana kila mtu atamuona mwenzake mpya
  13. kita_jr

    Kwanini ni lazima nioe Mwanamke wa Kaskazini?

    Sisi tunayakimbia matatizo watu wengine wanayakimbilia...all in all endelea na process utakipata unachokitafuta
Back
Top Bottom