Recent content by Kisusi Mohammed

  1. Kisusi Mohammed

    Niko Morogoro, nina bajeti ya mil 2,500,000/= nahitaji gari ndogo ya kutembelea

    Kiukweli kama unahitaji usafiri kwa ajili ya kufika na kurejea mahala aheri ufanye subira aidha kwa kuendelea kudunduliza uweze kujazia hiyo pesa walau ufikishe 5m utafute Passo yako iliyonyooka au Vitz, ama uamue kuchukua bodaboda yako kama TVS, Boxer au nyinginezo uweze kusogeza siku mpaka...
  2. Kisusi Mohammed

    Pikipiki aina ya BMW F800 ya mwaka 2013 inauzwa

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kavamia chaka la Al shabbab! Yaani umaskini wetu umetufanya hata kufikiria tofauti kidogo hatuwezi!
  3. Kisusi Mohammed

    Pikipiki aina ya BMW F800 ya mwaka 2013 inauzwa

    Amejaribu kukuonesha yeye ni mkongwe kiasi gani katika pikipiki. Sio kila anaeendesha pikipiki ana uwezo wa kumudu 1200Cc, ndio maana ametumia hiyo kwa msisitizo. Lugha hizi huwezi elewa kama wewe si muumini wa pikipiki na sio bodaboda.
  4. Kisusi Mohammed

    Pikipiki aina ya BMW F800 ya mwaka 2013 inauzwa

    Hujawahi kukutana na bike mkuu! Acha nisikulazimishe kuamini usichoamini!
  5. Kisusi Mohammed

    Pikipiki aina ya BMW F800 ya mwaka 2013 inauzwa

    Sawa mjomba, ungebahatika kuishi nusu ya maisha niliyoyaishi na pikipiki ungesadiki ninachokueleza!
  6. Kisusi Mohammed

    Pikipiki aina ya BMW F800 ya mwaka 2013 inauzwa

    Usilolijua litakusumbua sana, uliza "machizi pikipiki" watakuhabarisha, kuna bike zina starehe kuliko hata V8!
  7. Kisusi Mohammed

    Pikipiki aina ya BMW F800 ya mwaka 2013 inauzwa

    Hili ni tangazo la mwaka 2019 July mkuu! Ndio maana watu wanakuuliza kama umeangalia ni lini limepostiwa!
  8. Kisusi Mohammed

    Pikipiki aina ya BMW F800 ya mwaka 2013 inauzwa

    Hahahahahaaaa mjomba amekariri sana. Ahsante kwa kumpa shule
  9. Kisusi Mohammed

    Pikipiki aina ya BMW F800 ya mwaka 2013 inauzwa

    Wote wanaomiliki pikipiki kubwa hawawazi hivyo vi-baby walker, unakuta wanavyo uwani na hawavipandi wala kuviendesha kwa sbb ya mahaba na pikipiki. Na ukiona mtu anaweka 13m kwenye pikipiki ujue hiyo ni chenji haina matumizi.
  10. Kisusi Mohammed

    Pikipiki aina ya BMW F800 ya mwaka 2013 inauzwa

    Kaka kitambo sana niliuza mkuu.
  11. Kisusi Mohammed

    Wizi wa wahudumu wa kwenye vituo vya kujaza mafuta

    Tatizo jeuri zake hazinisaidii kama hawezi kunitumia hata hiyo buku 5!
  12. Kisusi Mohammed

    Wizi wa wahudumu wa kwenye vituo vya kujaza mafuta

    Ndio ndugu yangu, ni mkongwe kidogo, kwani kujoin lini kuna mahusiano yoyote na shughuli za kiuchumi?!
  13. Kisusi Mohammed

    Wizi wa wahudumu wa kwenye vituo vya kujaza mafuta

    Unahitaji nikuthibitishie vipi?
  14. Kisusi Mohammed

    Wizi wa wahudumu wa kwenye vituo vya kujaza mafuta

    Hapo ndio uwezo wake wa mwisho kufikiria, msamehe bure!
  15. Kisusi Mohammed

    Wizi wa wahudumu wa kwenye vituo vya kujaza mafuta

    Kaka tatizo sisi tunaozipata kwa kuungua jua na kunyeshewa mvua tuna hasira sana, ingekuwa zinakuja kwa ulaini wala isingekuwa tatizo, ingekuwa ni kugawana neema tu, lakini sasa jinsi tuzipatavyo ni mtihani ndio maana tuna hasira sana!
Back
Top Bottom