Recent content by KISUNZU

  1. K

    JamiiForums Tanzania Chuo cha afya

    Wakati wanafunzi wamedisco hapo kafaulu mmoja kozi ya ca. Katupe hela tu.
  2. K

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Afya NA watumishi BYE.

    Kwa ghafla sana na pasipo maandalizi wizara ya afya imebadilisha kiasi cha ada ambapo kwa ngazi ya cheti tu ada kwa mwenye bima ya afya ni 880,000 kwa asiye na bima ni 930,000 watoto wa wakulima tutasoma kweli?
  3. K

    JamiiForums Tanzania Nimechemshwa Ubongo jamani

    siyo utakuwa umebadilisha swali inapaswa kuwa hivi. 2-1+1 =2-(1-1) =2-0 =2 the correct answer?
  4. K

    JamiiForums Tanzania Huyu atachaguliwa wapi?

    MDOGO WANGU ANA MATOKEO YAFUATAYO KWA MATOKEO YA STD 7 KISWAHILI-A ENGLISH-B MAARIFA-B SAYANSI-A HISABATI-A GRADE A yupo KIGOMA ni msichana,anawezapelekwa wapi mdogo wangu.
  5. K

    JamiiForums Tanzania Wizara ya afya mwisho 9/11/2013.

    we nenda na mshiko kamili kama laki 5 au 4.
  6. K

    JamiiForums Tanzania Wizara ya afya mwisho 9/11/2013.

    Barua toka wizarani inasema ifikapo tarehe hyo uliyechaguliwa hujalipoti nafasi itachukuliwa na walio kwenye orodha ya reserve. Changamka ni jumamosi tu wiki hii.
  7. K

    JamiiForums Tanzania Afya

    vp ulifanikiwa koz gani? Km unaweza nipigie 0763631449 nikuambie japo ni ya mwaka jana mahtaji ya wizara ni yale yale.
  8. K

    JamiiForums Tanzania Unataka kujua chaguo lako wizara ya afya

    Check faustine muzambele.
  9. K

    JamiiForums Tanzania Wizara ya afya naipenda ila hapa.

    JAMANI NDUGU ZANGU NAOMBA SAMAHANI KWA POST YANGU ILIKUWA INAWAAMBIA BADO SIKU 3 WIZARA YA AFYA. Kwa kweli hzi data nilizipata walipotuma ratiba ya moja kwa moja Chuoni kwangu kwamba watatangaza kuanzia tar 5-10 mwezi huu. Lakini wameonekana waongo kwa kutofanya hvo na mimi kuiamin kwa kweli...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Siku 3 wizara ya afya

    WEWE NI MFU? Kweli hakuna wa kuweza kushangaa. You seem as dead body.
  11. K

    JamiiForums Tanzania Siku 3 wizara ya afya

    Nothing to write. Dat's why u commented (???????) a comment of which a person with a sound brain can't do such nausance thngs.
  12. K

    JamiiForums Tanzania Siku 3 wizara ya afya

    nausance comment
  13. K

    JamiiForums Tanzania Siku 3 wizara ya afya

    we kweli mbulu.. Hv nilivyosema baada ya tar kumi umechukulia kuwa nimebadilisha "#what degree of stupidity are you? Maana yake ni kuwa Ukiona 5-10 imepita ndo ulalamike. Halafu ulvyo mzembe hyo 3 umeitoa wapi wewe? Stupid
  14. K

    JamiiForums Tanzania Siku 3 wizara ya afya

    hyo data ni real na hakika kama unajilazmisha kutoelewa na kujua kuwa hayo unapaswa uyaandike baada ya tarehe kumi umeipata hyo? hyo data ni real na hakika kama unajilazmisha kutoelewa na kujua kuwa hayo unapaswa uyaandike baada ya tarehe kumi umeipata hyo? hyo data ni real na hakika...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Siku 3 wizara ya afya

    Ulipewa range kuanzia tar 3-10 oct kwani zimepita tayari nyie vp tena.
Back
Top Bottom