fergie,
Samahani......nmeshindwa jinsi ya kutuma mimi kama mimi lakini naamini mtanisaidia ndo maana nime replay.......naomba kujua dawa nzuri ya kukausha kidonda cha uzazi cha kujifungua njia ya kawaida nilichanika niliongezewa na nikachanwa na watoto pia maana nilijifungua mapacha na ni uzazi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.