Recent content by kisiki kizito

  1. kisiki kizito

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Kaka nakuelewa... usikate tamaa ndugu!!!
  2. kisiki kizito

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Mkuu naomba nije PM
  3. kisiki kizito

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Usiende Central. Nenda ule upande wa pili ofisi za polisi Mkoa..
  4. kisiki kizito

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    L Kwann isiwe moka ya church. Kama ni cheusi na kiko smart
  5. kisiki kizito

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Kaka usikate tamaa... Heads up!! Wakati ndo jambo zuri kwenye maisha... Mungu anakuandalia palipo jema kwako
  6. kisiki kizito

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Hongera mkuu
  7. kisiki kizito

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Ahsante kaka
  8. kisiki kizito

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Wamtumainio bwana. Ni kama mlima Sayuni. Nao hautatikisika kamwe..... Wakuu NAMSHUKURU MUNGU NIMEITWA KWENYE USAHILI... NAWASHUKURU WOTE. WALIOKOSA TUSIKATE TAMAAA
  9. kisiki kizito

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Jumapili ya Leo ikawe ya baraka kwetu!! Ni maombi yangu kwa Mungu akamjibu kila mmoja na kumpa iliyo haki yake!!
  10. kisiki kizito

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Kabisa mkuu!! Me nasemaga Mungu atupe iliyo haki yetu!!
  11. kisiki kizito

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Ndo plan. Mungu akinipanga kwenye pdf ya kwanza.... Hakika ntawaeleza nilivyonavyo.. nisiachwe tu
  12. kisiki kizito

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Niliombea Cheti Cha Degree.. na Cheti changu Cha certificate kinatambulika kabisa na NACTE. Hapo mwisho namekuelewa. Ahsante
  13. kisiki kizito

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Sikuangalia. Ila Nina degree na certificate ya FULL HOTEL MANAGEMENT, Mambo ya uchef kww wingi...
  14. kisiki kizito

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Wakuu naomba kuuliza, hivi mfano. Una degree ya kitu flani. Alafu hapo hapo una fani nyingine kwa level ya certificate. Ikitokea umeitwa kwenye usahili unaweza kushawiahi wakuchukue kupitia hiyo fani kama degree itakua na ushindani?
  15. kisiki kizito

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Ahsante sanaa
Back
Top Bottom