Recent content by KISHUMUNDU ONE

  1. K

    Nashurutishwa kupita mlango wa uwani

    sina nia ya kumwacha mkuu , Ningekuwa na nia hiyo ningemaliza kila kitu ila najuta hata kupiga hiyo deki mkuu
  2. K

    Nashurutishwa kupita mlango wa uwani

    ni mpenzi wangu mkuu soma uelewe
  3. K

    Nashurutishwa kupita mlango wa uwani

    Nimeamua kuja na id mpya ili kulinda heshima yangu, Nianzie hapa miaka miwili iliyopita nilipata mpenzi binti fulani asiye na makuu mwenye aibu na staha zake, Mwanaume nikajiweka jumla maana tabia zake zilinivutia,. Mapenzi moto moto , basi baada ya mapenzi kushamiri tukaw tumezoeana sana ...
Back
Top Bottom