Aisee nilikua nimestak 30k timu moja ilikua tayal win kipind malisel ana 3 bila nilukua nikiusel napata 38k majam yameongeza la 4 nimeusel kwa 15k yaal hasal ya kujitakia
Jaman kanji si wakispot aisee unaweza chizi yaaan gem ya beisteke niliwapa over 3.5 yaan nshakata tamaa mpaka nimeusel na kanj akazingua odd changed nalud kuangalia nakuta yamesawazisha isee
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.