Recent content by kishtobe86

  1. K

    JamiiForums Tanzania Nahitaj kioo cha note 3 na housing

    Habari za wakuu nahitaji kujua gharam za kioo cha simu ya note 3 pamoja na housing yake nahis fundi anataka kunipiga
  2. K

    JamiiForums Tanzania Dawa ya asili kwa ajili ya homoni

    Mkuu nina shida ya izo dawa nahitaji ili nipate mtot nisaidie namba ya uyo mama
  3. K

    JamiiForums Tanzania Msaada jamani

    Asnte mkuu ngoj niwapigie
  4. K

    JamiiForums Tanzania Msaada jamani

    Sijawahi kufanya hata kujaribu hayo mambo nayasikiaga tu yan mkuu
  5. K

    JamiiForums Tanzania Msaada jamani

    Habari za sikukuu wakuu naomba mnisaide hata ushaur nahitaji mtot ila tatzo nimeambiwa tatizo homon hazijabalance na mirija imeziba nahitaji kujua sehem nzur ya tiba ya kienjeji au hospital nisaidien jamn ndoa naanza kuiona chungu mapema
  6. K

    JamiiForums Tanzania Watoto ni baraka yahitaji subira kina baba

    24 mkuu still young
Back
Top Bottom