Recent content by Kishavu

  1. K

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu atengua Uteuzi wa Kaimu Mkurugenzi wa NSSF

    Mawazi wanatakiwa kuchukua mfano wa Prof Muhongo and Mahege hawakurupuki
  2. K

    JamiiForums Tanzania USHUHUDA: Hii ndiyo michezo hatarishi ya Kampuni ya Mafuta ya Oilcom

    Ukitaka kupata ukweli Unda Tume omba scotland yard isaidie (Technical Knowhow) chukua data meli zote za mafuta zilizingia dar port for the past 4 years Futilia kampuni zenye hizo meli they will give you data what was discharge coz they have nothing to hide.Then you compare with TRA data.
  3. K

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli apiga Marufuku kuingiza Sukari toka Nje

    Hiyo sera ni nzuri sana, Ila ni viwanada vyote vya Agro Processing (vinavyotumia maligafi ya mkulima wa TZ) vinatakiwa kua protected under same policy and Not sugar only.
  4. K

    JamiiForums Tanzania Makonda jirekebishe, usipojirekebisha utaangamia vibaya

    Huo ubabe wa 1960 watt wamestarabika dogo,mdogo mdogo
  5. K

    JamiiForums Tanzania Prof. Muhongo: Serikali kununua umeme wa bei nafuu Ethiopia

    Jamani hata aibu ha tuna ,,, Hiyo Mpya
  6. K

    JamiiForums Tanzania Bilioni 18 zateketea sekta ya Uagizaji mafuta

    Umesema sahihi lakini Mbona makampuni sugu hukuyataja yote?? Au mmezidiana Akili ulijuaje bil 18
  7. K

    JamiiForums Tanzania Sakata la Coco Beach: Manji amwandikia barua Rais Magufuli

    Kuna ulevi aina tatu, Pombe, Hela na Cheo .Vyote vinalevya na hujui Kama unachofanya ni kizuri au kibaya .
  8. K

    JamiiForums Tanzania Rungu la TRA lafika BAKWATA, yapewa siku saba kuwasilisha nyaraka

    nyumba wameuza sasa wacha wakae kitaa
  9. K

    JamiiForums Tanzania Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

    Hmumjui huyooo !!!!! Mtu wa MANHATAN
  10. K

    JamiiForums Tanzania Dk. Meru asipofukuzwa, yatakuwa maajabu ya dunia!

    No Dr Meru jamani ni mchapakazi, myonge myongeni hakiyake mpeni
  11. K

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli awatimua Mkurugenzi Mkuu wa TPA, Mwenyekiti wa Bodi na Katibu Mkuu Uchukuzi

    there is nothing exceptional he is doing, but he is doing his job seriously, deligently and He is truly a leader. Awamu ya nne ilikua wapi madudu haya yaliopokua yanatokea??? KWELI TUNAONA MABADILIKO NDANI CCM. Kidumu chama Cha Mapinduzi
  12. K

    JamiiForums Tanzania Upotevu wa Makontena 349 ICD: Nane akiwemo Masamaki wafikishwa Mahakamani, Wakosa dhamana

    Tupeni Majina Ya hao watuhumiwa !!!!!
  13. K

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Majaliwa ndani ya Bandari tena. Makontena zaidi ya 2,400 yamepita bila kodi

    Yahhh sasa tutafanya biashara!!!!! HAPA KAZI TU
  14. K

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli akutana na wafanyabiashara, atoa siku 7 kwa waliokwepa kodi kujisalimisha na kulipa

    Swala la viwanda Magufuli lazima alale mbele na bathi ya wafanyakazi serekalini wanao haribu mfumo wa SERA ZA VIWANDA VYA AGRO-PROCESSING kwa intrest zao wanazozijua. if we need to prosper and to be industialized nation we should ask ourselves whats wrong with closed factorys in the following...
Back
Top Bottom