Recent content by Kisemvule1

  1. K

    JamiiForums Tanzania Viwanja bila dalali

    Hapana Siuzi kanisa hahahaha. Ninauza viwanja vya ukubwa kutokakana na matakwa ya mtu. Hata mtu akihitaji eneo lote kwa matumizi yake binafsi pia tunaweza kukaa chini na kuelewana. Kikubwa ni kujua mazingira husika na kufika kwako kutakupa picha halisi ya nini unahitaji kulingana na matakwa...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Viwanja bila dalali

    Nauza viwanja eneo la Kisemvule, tunakata viwanjabkwa ukubwa unao taka, hakuna dalali. Eneo lipo karibu na barabara kuu iendayo Kilwa, umeme upo karibu kabisa, maji yapo karibu, shile ya sekondary, Kanisa Katoliki na Hosptal kubwa ya Kanisa Katoliki, pia na chuo cha ualimu Eneo unafika na gari...
Back
Top Bottom