Recent content by Kisasa_rob

  1. K

    Natafuta tenda ya maji safi

    Habari zenu, Mimi ni kijana nimeingia katika biashara ya maji safi, nina malori yangu ya maji safi ya kutosha, changamoto ni kupata kazi au tenda Mjini Dar. Hivyo basi nachukua fursa hii kutangaza fursa kwa vijana ambaye atanitafutia tenda nitamlipa per trip moja. Gharama zetu za huduma ni...
  2. K

    Natamani kujifunza digital skills hasa katika sekta ya Programming

    Habari zenu, natumaini ni wazima wote? Natamani sana kujifunza digital skills hasa programming kutengenez systems, websites, apps n.k ila nakosa mentors wakunipa guide naishia youtube n skillshare tu msaada please, nitashukuru sana sana...namba zangu 0693307877
  3. K

    Karibu ufungiwe CCTV cameras, electric fence & bimetric doors

    Habari zenu, mimi ni kijana wa kitanzania niliyeamua kujiongeza kwa kufanya kazi za kufunga CCTV cameras, electric fence, bimetric doors n.k. Tushafanya kazi nyingi karibu tukuhudumie tuko wawili na bei zetu ni nafuu. Pia kwa mtu yeyote anayetaka kututafutia dili karibuni pia malipo...
Back
Top Bottom