Habari;
Naomba niwasimulie kisa hiki ,
Mimi ni muajiriwa ofisi fulani hapa jijini dar . Nina muda usiopungua miaka kumi na miwili tangu nijiunge na ajira hiyo.kabla ya kujiunga na kazi hiyo nilikua naishi maisha ya kawaida nikiwa na marafiki kadhaa katika maisha.
Lakini ni ukweli usiopingika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.