Recent content by kISAIRO

  1. K

    USAHIHI: Kilichotokea kati ya Juliana Shonza na Wabunge wa Upinzani kwenye viwanja vya Bunge, Dodoma

    Dada kazi ya Siasa ni ubunifu na you have the long way, kumbuka wakati unaomba kura ulipiga magoti mbele hata ya watoto na najua unajua kwanini ulifanya vile!Jifunze kuheshimu wazee na kuwa mvumilivu, maana this will cost you dada, imagine unaenda kuomba kura 2020 halafu unapiga magoti...
  2. K

    Dodoma: Wabunge Ester Bulaya na Halima Mdee Wafungiwa Vikao vya Bunge kwa mwaka mzima

    Wasiwasi wangu ni kuwa Juliana Shonza alipata wapi muda wa kuandaa lile tamko?Na Kamati iliposema siku ya mwisho ya mkutano wa Tisa kuna nini?Wasiwasi ni lile tamko la Juliana limetoka wapi?au ndio motion
  3. K

    Benjamini Sitta wa CCM ashinda nafasi ya Meya Kinondoni, Wapinzani wakimbia

    We call it practice what you preach
  4. K

    Lipumba: CHADEMA wameshindwa Kinondoni kwa sababu ya ubinafsi

    Haya ni maneno ya Prof au kama ni maneno yake basi Mungu atusaidie
  5. K

    Benjamini Sitta wa CCM ashinda nafasi ya Meya Kinondoni, Wapinzani wakimbia

    Kawaida yako kusifia ila naona kwa aibu ya leo hata kusifia unaogopa
  6. K

    Benjamini Sitta wa CCM ashinda nafasi ya Meya Kinondoni, Wapinzani wakimbia

    Uchaguzi ulikuwa wa haki na ukweli au unafurahi uovu?hivi unakumbuka picha ya Zombi ile?
  7. K

    Rais Magufuli ajiondoe kwenye hili la kuhujumu Mameya wa upinzani

    Wanalia na nini au unataka wafanyaje?waandamane?
  8. K

    Wabunge wawili CHADEMA hatarini kufungiwa tena

    Haraka ya nini?Tulia kisha lete full story au ilimradi?
  9. K

    Edward Lowassa na Maalim Seif Shariff Hamad Wafanya Mazungumzo Hali ya Kisiasa Zanzibar

    Aya ghani mtume kasema salimianeni kwa kupeana mikono?
  10. K

    Edward Lowassa na Maalim Seif Shariff Hamad Wafanya Mazungumzo Hali ya Kisiasa Zanzibar

    Haaa haaaa kufanya nini sasa mkuu, hata watu wasisalimiane?
  11. K

    Padri Mapunda akosolewa vikali baada ya kumshukia Rais Magufuli

    Baba Paroko ametoa maoni yake na wewe unaweza kutoa pia, kama ni uongo si atafikishwa Mahakamani mzee
  12. K

    Padri Mapunda akosolewa vikali baada ya kumshukia Rais Magufuli

    Labda ungebadilisha kichwa cha habari na kuandika namkosoa aidha amekosolewa na nani wengine?
  13. K

    Kwa Mlinganisho huu wa Meli, Bandari ya Dar kuna giza nene

    Ubishi bwana ni mzuri , kwani Bandari wamesemaje?tumekosea tujirekebishe
Back
Top Bottom