Recent content by Kisai

  1. K

    DOKEZO Fao la Kujitoa limerudishwa kisheria, kwanini NSSF hamtangazi? Kwanini mtu akitaka hela zake zote (Lump Sum) anazungushwa?

    Watu wanachukua pesa zao kweli NSSF, kama una zaidi ya siku 90 tangu umeacha kazi au kuachishwa kazi ndio unaweza kuomba pesa zako zote. Ukienda NSSF kuna barua unaandika yenye anuani ya malipo ya mkupuo baada ya kukosa ajira kwa siku 90. Hiyo unakuja kuiambatanisha kwenye madai kupitia tovuti...
  2. K

    Kwanini Shia wanapigwa vita sana na Wasunni kama vile sio Waislamu?

    Katika vitabu vya Allah vyote ambavyo ni Taurati, Zaburi, Injili na Qur'an, ni Qur'an pekee ndio imebaki vingine vyote havipo. Qur'an ipo ukitaka unaweza kupata soft copy au ukanunue kwenye maduka ya vitabu vya kiislamu hard copy.
  3. K

    Kwanini Shia wanapigwa vita sana na Wasunni kama vile sio Waislamu?

    Jaribu kuandika vitu kama msomi au walau uige wasomi wanavyoandika. Kuhusu kuwaua hili ni kosa, lakini kama jambo hulijui ni bora kuuliza au kukaa kimya. Mashia wanatoka katika Uislamu sababu ya Imani yao. Naona umeshindwa kuandika na mtoto wa kike Dr. Mariposa.
  4. K

    Muhammad na ukopaji wa maneno ya kiyahudi bila kufahamu maana zake: Chanzo cha contradictions ndani ya uislamu

    Ukijibu maswali niliyo kuuliza, tutaendelea upande wangu. Hatuwezi kuleta ujinga huu wa kukimbia maswali.
  5. K

    Muhammad na ukopaji wa maneno ya kiyahudi bila kufahamu maana zake: Chanzo cha contradictions ndani ya uislamu

    Hakuna kichaka, shida tabia yako hii imekuwa sugu ya kutokujibu maswali unayo ulizwa. Silei wajinga wajinga. Jibu maswali niliyo kuuliza. Nimeluuliza maswali 9 huko nyuma hujajibu hata Moja.
  6. K

    Muhammad na ukopaji wa maneno ya kiyahudi bila kufahamu maana zake: Chanzo cha contradictions ndani ya uislamu

    Kama hurudii tena, tuonyeshe ulipo jibu hayo maswali tuyasome. Siku zote hii tabia huwa unayo, ya kukimbia maswali. Hili la ushahidi nimekwambia litafata mpaka pale utakapo jibu maswali niliyo kuuliza na hili ni rahisi sana.
  7. K

    Muhammad na ukopaji wa maneno ya kiyahudi bila kufahamu maana zake: Chanzo cha contradictions ndani ya uislamu

    Ujanja unauleta wewe ambaye unakimbia maswali na kupotezea watu muda na kuandika uongo kwamba umejibu maswali. Ili tuendelee jibu kwanza maswali yangu tisa niliyo kuuliza au tuambie umeyajibu wapi tusome majibu yako.
  8. K

    Ni nani aliyemwambia Mathayo kuhusu tukio hili Yesu au Shetani?

    Swali hili ni la msingi sana, sababu linagusa msingi wa Imani yenu. Tofauti na hilo swali ambalo haligusi chochote katika Imani zaidi ya taarifa. Tatizo kubwa linalowagharimi Wakristo na kitabu chenu ni kuwa, kitabu chenu hakina msururu (chain) wa wapokezi wa habari zenu. Yaani haijulikani...
  9. K

    Muhammad na ukopaji wa maneno ya kiyahudi bila kufahamu maana zake: Chanzo cha contradictions ndani ya uislamu

    Kwahiyo umekubali kwanza ya kuwa waarabu walikuwepo Syria tangu na tangu. Kama unakubali hilo kwanini ulisema Zaburi ni tamko la Kiyahudi na ukashindwa kulithibitisha. Uache kukurupuka.
  10. K

    Muhammad na ukopaji wa maneno ya kiyahudi bila kufahamu maana zake: Chanzo cha contradictions ndani ya uislamu

    Kwanini huogopi kuandika uongo ? Jambo usilo lijua, Yale huwezi kuyajibu ndio maana hunayajibu mpaka muda huu.
  11. K

    Muhammad na ukopaji wa maneno ya kiyahudi bila kufahamu maana zake: Chanzo cha contradictions ndani ya uislamu

    Umejibu swali gani katika Yale maswali tisa niliyo kuuliza ? Nionyeshe hayo majibu. Usipotezee watu muda.
Back
Top Bottom