Recent content by Kirumberumbe

  1. Kirumberumbe

    Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

    Na mbado.:D Labda wamempa nusukaputi. Anatabiri yajayo yanafurahisha zaidi
  2. Kirumberumbe

    Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

    Mkuu, Inapambania upande gani - Urusi au Ukraine?
  3. Kirumberumbe

    Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

    Hiyo mifumo haijachakachuliwa mkuu? isijeikawa ni hatari ya kudukuliwa mambo zenu. :(
  4. Kirumberumbe

    Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

    Ni kheri kazi iishe chap; watu watulie wafanye shughuli za maendeleo sio vita vya kibabe :D kuvamia taifa la Ukraine
  5. Kirumberumbe

    Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

    Ni moto kwa kwenda mbele. Hongereni sana japokuwa sipendi vita Ila inabidi basi tuu kazi iendelee. Atapeleka habari kwa waliotangulia mbele. Kazi iendelee.
  6. Kirumberumbe

    MSAADA: Nakojoa kitandani licha ya kuoa

    Muelekeze Afanye hivi kwa hiyo miguu ya ng'ombe: Achome kwa moto hilo kanyagio(Asichemshe) halafu abandue kwato kwa uangalifu. Ndani ya hizo kwato zilizobandulia kuna kitu kama aina ya mnofu rangi ya kijivu. Hicho ndio dawa. Unakula unapoenda kulala kila siku kwa muda wa siku tatu. Asante.
  7. Kirumberumbe

    Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

    Mkuu Figganigga; What is not happening? Update Leo 13/06/2022 hamna?
  8. Kirumberumbe

    Report maalum: Madanguro ya kichina chanzo cha mauaji ya wachina

    Mmmh! Mshana bhana, hebu aithee achana na mambo hayo; Ww sio wa hayo - potezea bro.. Tubandikie yale mambo yetu pendwa...... au hata yale ya Kilingeni au maonesho ya kazi za kichawi n.k.
  9. Kirumberumbe

    Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

    Hahahaha. Mkuu; Wananchi wavumilie kidogo kwani mizoga Itanuka kwa muda tuu lakini baadaye itakuwa ni mbolea nzuri kwenye ardhi ya nchi hiyo na harufu mbaya haitakuwepo tena:D.Kazi iendelee.
  10. Kirumberumbe

    Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

    Mkuu, Ungeweka na ka-uthibitisho walau tungeamini zaidi kwamba wanakung'utwa na sio chai hilo ulisemalo.
  11. Kirumberumbe

    Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

    Duh! Hii mashine inabeba risasi ngapi? (Sijaona magazine)
  12. Kirumberumbe

    Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

    1. US, Afrika(North),Nchi za mashariki ya kati (Uarabuni) na sehemu nyingine wanayo mafuta ila bei zao zipo juu ukilinganisha na yale yanayotoka kwa haya mataifa mawili. 2. Wawekezaji wakubwa kutoka nje waliwekeza sana katika sekta hiyo katika mataifa haya mawili. 3. Zipo Nishati mbadala...
  13. Kirumberumbe

    Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

    Mrusi Hastahili huruma hata kidogo kwani timbwili kalianzisha mwenyewe na kwa hiyo majimbo yoooote anyang'anywe kabisa yarudi Ukraine na pia alipie uharibifu wote aliousababisha Ukraine.
Back
Top Bottom