Vijana wengi wakishapata mikopo hii wanajisahau na kuanza kuitumia pesa Kwa starehe,tubadilike jamani, tutumie fursa hii Kwa kuinua maisha yetu na wale wanaotuzunguka
Kwa kweli hapa umenena. Nimwfurahiawa na ulivyoelezea kipengele Cha kuwa wente kupewa dhamana wanatimiza wajibu wao? Kwa wengi wao ngumu Dana,tamaa na kukosa uzalendo vimewameza
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.