Recent content by kirama00

  1. K

    JamiiForums Tanzania hivi hii inawezekana jaman HESLB

    nashukuru
  2. K

    JamiiForums Tanzania hivi hii inawezekana jaman HESLB

    ok nashukuru,kwani ukiomba unaanza upya means ule wa mwanzo wanaufuta au???
  3. K

    JamiiForums Tanzania jinsi ya kuongeza unene msaada

    asante nashukuru kwa ushaur mkuu
  4. K

    JamiiForums Tanzania hivi hii inawezekana jaman HESLB

    jaman mimi npo first year civil eng chuo flan hapa tz sasa nilikuwa nauliza hivi inawezekana kuongeza mkopo wako kwa kuomba tena maana naona huu wa sasa haunitoshelez mahitaj yangu
  5. K

    JamiiForums Tanzania jinsi ya kuongeza unene msaada

    nisaidieni kwa hilo wakubwa
  6. K

    JamiiForums Tanzania hivi katika sex hii ni kawaida au!??

    daah kwa kwel hii inaweza kuwa sababu,maana huyu girl alikuwa mchafu kwel tena akitoa harufu kwa sna!
  7. K

    JamiiForums Tanzania hivi katika sex hii ni kawaida au!??

    sasa mbna hvo nkate ili iweje kwan hakuna dawa? mkuu acha kukatsha watu tamaa am serius on ths
  8. K

    JamiiForums Tanzania hivi katika sex hii ni kawaida au!??

    nashukuru mkuu
  9. K

    JamiiForums Tanzania hivi katika sex hii ni kawaida au!??

    hamu inakuwepo km kawa ila 2 hausimami
  10. K

    JamiiForums Tanzania hivi katika sex hii ni kawaida au!??

    cjakuelewa mkuu
  11. K

    JamiiForums Tanzania hivi katika sex hii ni kawaida au!??

    habari wakuu mimi n kijana wa miaka 22 kwa sasa ,nmefanya sex nikiwa na miaka 21 kwa mara ya kwanza but hyo siku nilisex kwa dk kama 5 hiv then uume ukasinyaa sasa nashindwa kuelewa ni nin hii and ckuendelea baada ya apo ...msaada wenu wakuu coz nakua nahamu but uume umelalla sasa dawa yake nin??
  12. K

    JamiiForums Tanzania USHAURI: Ana F zote na D moja katika masomo yake saba MATOKEO YA 4M FOUR

    Hebu nishaurini hyu mdogo wangu aende wapi kuresit amesema hawezi sasa nshaurini nmpleke chuo gani hapa bongo
  13. K

    JamiiForums Tanzania nakonda/napungua uzito msaada jaman

    mara mbili nilipima rufaa na mkoan mbeya
  14. K

    JamiiForums Tanzania nakonda/napungua uzito msaada jaman

    habari wakuu mimi n kijana mwenye miaka 21 nipo chuo na uzito wa 50kg thn nqa uref wa 5.4 nashindwa kuelewa kwa nini uzito wang ni mdogo kiasi hicho wakati nakula vizur bila ya hata kupitisha mlo na huwa hata siumwi mara kwa mara zaid ya mafua ya kuja na kupotea kila m2 huwa ananiambia cku...
  15. K

    JamiiForums Tanzania msaada uso wang umeoza( umeharibka kupita kiasi)

    nawashukuru wote kwa ushaur wenu wakuu
Back
Top Bottom