Recent content by KIRABIDI

  1. K

    JamiiForums Tanzania Tatizo la mbegu za kiume kutoruka wakati wa kufanya tendo la ndoa.

    Asanteni kwa ushauri. Cjasema nlikua naziona ila nlikua nazihisi.
  2. K

    JamiiForums Tanzania Tatizo la mbegu za kiume kutoruka wakati wa kufanya tendo la ndoa.

    Jamani mimi nimeoa miezi minne iliyopita, nimejitahidi kumpa mke wangu mimba ila bado haijakubali. Najihisi ninatatizo moja ambalo ni mbegu za kiume kutotoka kwa speed na kuruka kama nilivyokua nazihisi zamani. Na maranyingi kila nikimaliza tendo la ndoa mbegu zilizoingia ukeni zinarudi zote mda...
  3. K

    JamiiForums Tanzania New

    Hi! Am a new member in ths forum. Nimekuja kuelimika
Back
Top Bottom