Recent content by kipilangat

  1. K

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Nape Juu ya Arusha na Tafsiri Yangu

    Mimi sipendi kubishana na NAPE ila nadhani uwezo wake ni wa mashaka sana, na naona hiyo nafasi haitendei haki CCM lazima mabadiliko yaliyotokea SENEGAL na ZAMBIA hayazuilika hata kwa mtutu ya bunduki, haki mtachelewesha ila lazima itokee si mbali, NAPE c mnapenda watoto wa vigogo CCM kutuongoza...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Lowassa: Wanaotakiwa kuwajibika wawajibike

    Hi ni kali
  3. K

    JamiiForums Tanzania Lowassa ana dhambi nyingine zaidi ya Richmond?

    Mimi napata shida kidogo, kwani huyu KASORI alikuwa wapi muda wote asiyaseme haya anayosema leo mbona hii ni long story ndugu zangu, mimi nasema kuwa hakuna mzazi anayeweza kuwapenda watoto wake wote kwani wanatofautiana na ndivyo ilivyo kuwa kwa LOWASSA kwanini NYERERE hakumpenda, hakuna cha...
Back
Top Bottom