Recent content by kipeperu

  1. K

    Namuhitaji Mume Mkristo, awe na nia ya kuwa na familia

    Ni vizuri umeyao gea hayo , wote hapa tupo na hizo sifa unazozitaka ila , umeelewa kwa nini kabla ya ndowa wanandowa hao hawakwenda serikalini na kusaini ili wapate cheti cha ndowa? Ni kwasababu yote wanaweza yasema ni kweli kwa inje ila unapo anza ishi naye ndio anaonesha yeye ni nani.
  2. K

    Nahitaji mwanamke wa kuoa

    Umeamuwa kuowa au umeshurtishwa na baraza la kanisa?
Back
Top Bottom