Recent content by Kipepeo03

  1. Kipepeo03

    JamiiForums Tanzania KERO Sinza Mapambano kuna maji machafu yana Miezi minne sasa yanamwagika tu

    Katika kulalamikiwa maji safi hayapatikani na maji Taka nayo yamewashinda kabisa. Huku Sinza Mapambano kua maji machafu yana Miezi minne sasa yanamwagika tu. Wachangamshe vichwa jamani sio Mishahara tu.
Back
Top Bottom