Recent content by KIPASTA LEO

  1. K

    JamiiForums Tanzania Ni lini post za Vyuo vya Afya zitatoka kwa mwaka 2015?

    Naunga mkono hoja kiongozi. kwasababu rafiki angu kaomba diploma huku kamaliza form 4, profile yake inasoma NTA 6. Kama ingekuwa NTA 6 ni adv. diploma inamaana hajakidhi vigezo. nijuavyo ni kuwa NTA4 ni certificate 1year, NTA5 cert 2 yrs na NTA6 ni ord. diploma huku NTA7 ndio adv.diploma.
  2. K

    JamiiForums Tanzania Ni lini post za Vyuo vya Afya zitatoka kwa mwaka 2015?

    wameandika NTA LEVEL6 KIONGOZI
  3. K

    JamiiForums Tanzania Ni lini post za Vyuo vya Afya zitatoka kwa mwaka 2015?

    wadau, ikiwa mtu ameaplly DIPLOMA YA CL. MEDICINE kwa matokeo ya form four kwa ufaulu wa CCC kwa CHEM BIOS NA PHY, na huku amehitimu fm6 je anaweza kuongeza matokeo hayo( CHEM S BIOS E GEOG E) kwa sasa. kwenye sehemu imeandikwa "add qualificafion".KATIKA PROFILE ZETU. AU INAWEZA KULETA...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Ni lini post za Vyuo vya Afya zitatoka kwa mwaka 2015?

    Wadau, nina rafiki amemaliza form 4 mwaka 2009 na kupata chem c bios c na phy c. Mwaka 2012 alimaliza form six na kupata chem s bios e na geog e. Ameamua kuomba chuo clinical medicine kwa matokeo ya form 4 je anaweza kuongeza ya form six kwa sasa?? Kaniomba ushauli nikaona nilete...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Ni lini post za Vyuo vya Afya zitatoka kwa mwaka 2015?

    utapata bro james...unajua uko juu ya viwango vilivyowekwa..c c d kwa diploma. Kwahiyo tulia kabisaaa!! Ntaomba usome proverbs 3:6 utaelewa namaanisha nini kaka.
  6. K

    JamiiForums Tanzania Ni lini post za Vyuo vya Afya zitatoka kwa mwaka 2015?

    Iyo itakuwa imesimama kama Faith Based Organization. imesimamiwa na shirika la kidini.
  7. K

    JamiiForums Tanzania Ni lini post za Vyuo vya Afya zitatoka kwa mwaka 2015?

    daaaah.....nmeipenda hiii!! hahahaaaa!!!!
  8. K

    JamiiForums Tanzania Ni lini post za Vyuo vya Afya zitatoka kwa mwaka 2015?

    wazo zuri saana kiongozi
  9. K

    JamiiForums Tanzania Ni lini post za Vyuo vya Afya zitatoka kwa mwaka 2015?

    kiongozi ..iyo ada iko ata vyuo vikuu vyote wanatoa.ilileta mvutano sana ..lakini mwisho wanafunzi walitoa. wanasema ni kwaajili ya kurekebisha matatizo yanayoteka kwa wanafunzi huko nacte na ktk vyuo vyao
  10. K

    JamiiForums Tanzania Ni lini post za Vyuo vya Afya zitatoka kwa mwaka 2015?

    Nimekuelewa sana kiongozi, unajua wakati mwingine zile namba zinatutisha bure...cha msingi ni kuvuta subira na kutulia. Mungu hamtupi mja wake hakika!!!!!
  11. K

    JamiiForums Tanzania Ni lini post za Vyuo vya Afya zitatoka kwa mwaka 2015?

    naombeni kujuzwa !! Uzito wa ufaulu kabla ya mfumo wa GPA na baada, uko sawa?? mfano. aliyepata C C C kwa PHY CHEM na BIOS mwaka 2011, 2012 na aliyepata alama hizo hizo kwa mwaka 2014 uzito wa alama utakuwa sawa katika upangwaji wa chuo?
  12. K

    JamiiForums Tanzania Ni lini post za Vyuo vya Afya zitatoka kwa mwaka 2015?

    mvumi ada walionesha tshs. 2mil. iyo nyingine sikuona kiongozi.
  13. K

    JamiiForums Tanzania Ni lini post za Vyuo vya Afya zitatoka kwa mwaka 2015?

    okay kiongozi, kumbe huwa wanaingia kwa awamu mbili ?
  14. K

    JamiiForums Tanzania Ni lini post za Vyuo vya Afya zitatoka kwa mwaka 2015?

    ila kwa mwaka jana waliingia darasi mwezi novemba. nadhani ata mwaka huu yaweza kuwa hivo.
  15. K

    JamiiForums Tanzania Ni lini post za Vyuo vya Afya zitatoka kwa mwaka 2015?

    Kwa vyuo vya afya mwisho ilikuwa tar 2 agosti ..ila waliongeza kwa ualimu na kada nyingine kama ustawi wa jamiii na zinazofanana na hizo.
Back
Top Bottom