Recent content by kiparangwaya

  1. K

    Askofu Ikongo: Walioniteka, kunivalisha kitambaa cha sumu nawafahamu

    Siasa yenyewe imeanzia kwenye dini
  2. K

    Lijualikali: Mbowe hakuvamiwa bali kateleza kwa ulevi | Musukuma: Mnaliza ving'ora kumsalimia mlevi kateguka mguu

    Ccm ni wauwaji, Lijuwalikali umeungana na wauwaji Mungu hadhihakiwi!
  3. K

    Vita ya corona: Aljazeera wanatumiwa kutuchafua tena

    Nendeni mkaifungie hiyo Aljaazira, na huyo mwandishi mpeni kesi ya uhujumu uchumi
  4. K

    Tetesi: Diwani wa Ifakara aliyeshirikiana na Mbowe kwenye Kilimo aliuawa kwa kukatwa Mapanga

    Inashangaza saana nyie wanaccm mlivyo na chuki na Mh.Mbowe, Mmekataa kufanyika uchunguzi wa kimataifa ili tujue ni nani alimshamblia Mh.Lisu, wapi alipo Ben Saanane ? Leo mnakuja na ushetani mpya. Mlaaniwe nyie na vizazi vyenu. Sent using Jamii Forums mobile app
  5. K

    Polepole: Mbowe ni kiongozi wa kiimla asiye na dhamira njema kwa Tanzania

    Hawawezi kukujibu kuhusu Mangula, waulize maswali mepesi Sent using Jamii Forums mobile app
  6. K

    Tukidhani ni Binadamu wenzetu, kumbe ni mashetani! Mtu unaombeaje mwenzako afe kwa Corona? Can't believe this wickedness! Huu sio utu, ni ushetani!

    Waulize wabunge wa ccm nini nani aliwazuia wasiende kumuona Mh.Lisu hospital baada ya kupigwa risasi ? Sent using Jamii Forums mobile app
  7. K

    Tanzania tuna la kujifunza: Kenya hali ni Tete uchumi umeporomoka vibaya sana na wagonjwa wanaongezeka sana

    Yes, kuna uhusiano mkubwa. Twaweza ni mashahidi! Sent using Jamii Forums mobile app
  8. K

    Kuna kila dalili nchi ikarudi mfumo wa chama kimoja: Ikitokea hivyo ni faida kwa nani?

    Zimbabwe wamebaki na chama kimoja na maendeleo tunayaona, tupambane ibaki hiyo ccm tutapata unafuu kama zimbabwe ni mawazo ya kiccm.! Sent using Jamii Forums mobile app
  9. K

    Rais Magufuli alipendwa lakini sasa watu wamemkinai kwa itikadi yake

    Mmmh, ! Sent using Jamii Forums mobile app
  10. K

    Rais Magufuli alipendwa lakini sasa watu wamemkinai kwa itikadi yake

    Lugola ni mchaga? Bashite ni Mchaga? Waliochukua ile 1.5trilioni ni wachaga? Wanunuzi wa hizo ndege ni wachaga? Sent using Jamii Forums mobile app
  11. K

    Jicho langu: Ni Nguvu ya umma dhidi ya Nguvu za Chama

    Aibu kubwa saana kwa hawa watawala, kila siku za ibada utawaona kwenye nyumba za ibada lakini wanatabia za kishetani. Elice Elly, Sent using Jamii Forums mobile app
  12. K

    DPP: Bado naitafakari hukumu ya Viongozi wa CHADEMA, naweza kukata rufaa

    Sema unasubiri maagizo toka juu Sent using Jamii Forums mobile app
  13. K

    Rais Magufuli amlipia Peter Msigwa Tsh. Milioni 38 ili atoke gerezani, CHADEMA wadai wameshamlipia Mil 40

    Maendeleo ya kuua wapinzani? Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom