Kupitia thread hii ,tumepata tetesi za yanga,azam na simba pia! Kama kuleta tetesi za simba zinaumiza, nadhani busara ilikuwa wewe kuandaa thread ya tetesi za Yanga tu na ku ignore za simba!
Usajili wa msindo ungekuwa poa sana upande wa beki 3, beki mbili pia tunapaswa kuongeza nguvu, CB pia angepatikana mmoja wa maana , DM pia muhimu sana kuongeza, eneo la goli kipa pia linapswa kuongezewa nguvu zaidi .
Hawa watu hapana ase, na hapo dogo akiondoka wataanza kutuma mauchawi yao kama walivomfanyia mayele. Ni timu fulani inayoongozwa na watu wenye roho za uchawichawi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.