Recent content by Kipala

  1. Kipala

    Rishi Sunak anaweza kutangazwa kuwa Waziri Mkuu wa Uingereza leo Oktoba 24, 2022

    Mkuu hiyo dhana ya asili ina nafasi gani? Siyo tumejifunza shuleni makabila mengi ya Tanzania ni Wabantu, je si weyeji tena kwa sababu mababu walitoka Kamerun?
  2. Kipala

    Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Mkuu hujui kwamba waliuza kuni na makaa miaka yote?
  3. Kipala

    Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Mkuu mbona unatuletea takwimu isiyoonyesha Urusi??? Maana Urusi ni kati ya nchi duniani ambako wengi sana wanajiua. Ona
  4. Kipala

    Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Samahani mkuu kwa nini unaonyesha hii tweet ya Musk? Siyo Putin na Zelenski wote wameshakataa pendekezo lake?
  5. Kipala

    Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Mkuu tafadhali tusaidie: huyu bwana Lavrov anamaanisha nini akisema analenga kuimarisha Umoja wa Mataifa? Kama kanuni kuu ya UM ni kutotumia nguvu dhidi ya nchi nyingine na kuepukana na vita? Na kuheshimu mipaka ya kila nchi?
  6. Kipala

    Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Mkuu, nani atatambua mstari huu? Siyo hata China haitambui Krimea kuwa Urusi hadi leo?
  7. Kipala

    Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Mkuu kwa bahati mbaya ulidanganywa. CNN inaeleza kwamba hawakuwa na mtumishi "Bernie Gores", hawana anwani ya "CNN Afghanistan"" wala "CNN Ukraine". Wanaeleza kwamba siku hizi watu kadhaa wanatengeneza akaunti zinazofanana na media ya kweli ili kusambaza habari za uwongo.. Wanasema kwamba...
  8. Kipala

    Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Mkuu inarejelea Meduza ambayo jinsi ninavyoelewa si Ukraine bali Kirusi. Bila shaka utatufahamisha.
  9. Kipala

    Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Wakuu, naona taarifa kuhusu majadiliano ya siri kati ya Urusi na Ukraine . Tutumaini ita,eta atunda mema. Russia might soon consider making concessions in exchange for ceasefire, foreign affairs analyst Yakovyna says Russian independent media outlet Meduza reported recently that Russian...
  10. Kipala

    Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Mkuu, tangu miaka 70 kusudi la silaha hizo ni kutisha. Kama huna lakini adui yako anazo, umeshashindwa tayari kabla ya vita. (hii ni kweli kwa vita ya kawaida, ni tofauti katika vita kama Afghanistan..). Silaha za nyuklia zinatengenzwa kama silaha za kijeshi lakini hali halisi ni silaha za...
  11. Kipala

    Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Mkuu unaamini kweli Bwana Medvedev anataka kuharibu nchi yake Urusi? Anajadili kama anataka kushambulia sijui Ulaya, au Marekani kwa silaha za kinyuklia. Unafikiri kweli kwamba hajui uwezo wa kujibu upande wa Nato? Kwamba hakuna kitu kitakachobaki Urusi?
  12. Kipala

    Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Mdogomdogo Asante kwa ramani hiyo. Wanadhibiti sasa njia muhimu za reli. Inaonekana kwa sasa Urusi haina uwezo kuelekea tena upande wa kusini kuelekea Donetsk.
  13. Kipala

    Wanajeshi wa Urusi watimua mbio na kutelekeza mtambo wao

    Zelenski lugha yake ya nyumbani ni Kirusi. Hata hivyo, hajasema bado anahitaji kukombolewa.
  14. Kipala

    Wanajeshi wa Urusi watimua mbio na kutelekeza mtambo wao

    Jeshi la Ukraine lilishukuru rasmi Urusi kwa msaada wa vifaru vinavyohitajika sana.
Back
Top Bottom