Ni sawa kuchangia materials siyo tatizo, changamoto ni pale unapoombwa fedha nyingi unaweza kuta unaombwa mshahara wa mtu
Mfano mimi nimesoma psychology sihitaji hata sindano kufanya majukumu yangu ila nimeombwa 300k ili itumike wapi⁉️
Kumekuwa na utaratibu wa kutozwa fedha kwa wanafunzi wanaoenda kwenye taasisi mbalimbali za serikali kujifunza kwa vitendo. Hii ni sehemu ya kujifunza na pia kusaidia majukumu ya taasisi husika kwa kipindi fulani.
Badala yake, wanafunzi ndio wanaoombwa pesa nyingi ili kupata nafasi hiyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.