Recent content by kiongozi wa masikini

  1. K

    DOKEZO Serikali itazameni Ofisi ya Msajili wa Hati ya Dar es Salaam

    Yaani Mtu unaangaika na mchoro Umemaliza hatua zote imefika hatua ya Mwisho Kabisa unakwama!!hii siyo sawa!!
  2. K

    DOKEZO Serikali itazameni Ofisi ya Msajili wa Hati ya Dar es Salaam

    Serikali inapambana sana kusaidia wananchi wapate HATI zao kwa wakati. Wizara ya Ardhi imekuwa mstari wa mbele sana kuhakikisha kilio cha HATI kinaisha, na tumekuwa mashahidi kwa sasa serikali imeongeza kasi kubwa sana kuhakikisha watu wanapata hati zao. Awamu hii ya sita imekuwa mstari wa mbele...
Back
Top Bottom