Recent content by kinyaukitoto

  1. K

    JamiiForums Tanzania Dah, nahisi dunia imenielemea, nishikeni mkono

    Hahaha, wee jamaa bhn
  2. K

    JamiiForums Tanzania Dah, nahisi dunia imenielemea, nishikeni mkono

    Kwa reaction niliyopata humid,nakushauri hata wewe ukiwa na shida ya serious . Tumia njia yangu Maana utaikimbia Id yako,utawakimbia hata wale unaowahisi marafiki zako,ila pia utagundua tabia nyingi zilizojificha lakini utagundua uwezo wako wa kuhimili changamoto
  3. K

    JamiiForums Tanzania Dah, nahisi dunia imenielemea, nishikeni mkono

    Hahahaha ni ngumu sana ,maana ipo katikati ya maoni humuhumu ,
  4. K

    JamiiForums Tanzania Dah, nahisi dunia imenielemea, nishikeni mkono

    Laki saba hiyo mkuu, Usimlaumu direct,pata 1mn ya kufikir
  5. K

    JamiiForums Tanzania Dah, nahisi dunia imenielemea, nishikeni mkono

    Hahaha mkuu mm mgumu, Afu siyó mzembe
  6. K

    JamiiForums Tanzania Dah, nahisi dunia imenielemea, nishikeni mkono

    Dsm mkuu
  7. K

    JamiiForums Tanzania Dah, nahisi dunia imenielemea, nishikeni mkono

    Unanitusi mkuu,Ubarikiwe sana🙏🙏
  8. K

    JamiiForums Tanzania Dah, nahisi dunia imenielemea, nishikeni mkono

    Dah aya bwana🙄🙄
  9. K

    JamiiForums Tanzania Dah, nahisi dunia imenielemea, nishikeni mkono

    Id Id yangu ni kind of humble,kwan hujui tabia ya 🐈 kitoto, apart of mm ni smart guy you never expect to be
  10. K

    JamiiForums Tanzania Dah, nahisi dunia imenielemea, nishikeni mkono

    Dah haya bwana😔
  11. K

    JamiiForums Tanzania Dah, nahisi dunia imenielemea, nishikeni mkono

    Daaa....... Sasa Lamomy nikiachana nao, nitasaidikaje si Unajua lazima ujishushe kwanza, Au ww utanishika mkono mdogo wako , Id ikijulikana thread itaanza upya😀😀,
  12. K

    JamiiForums Tanzania Dah, nahisi dunia imenielemea, nishikeni mkono

    Wakuu mm ndugu yenu kinyaukitoto kama ilivyo sifa ya huyo kiumbe kwa unyenyekevu mkubwa ,bado sijapata ingawa wengi wameonesha kunitia moyo, na kunishauri bado nawaitaji sana . Nishikeni mkono mdogo wenu na kijana wenu, Kama nilivyowaaidi sitowaangusha, Na atakuja mtu kwwnye thread hii kutoka...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Dah, nahisi dunia imenielemea, nishikeni mkono

    Mkuu mm popote kambi kwa sasa mkuu,hzo za tofali nimebeba sana tu
  14. K

    JamiiForums Tanzania Dah, nahisi dunia imenielemea, nishikeni mkono

    Hakuna nisichostahili mkuu,ndo mana nipo hapa
  15. K

    JamiiForums Tanzania Dah, nahisi dunia imenielemea, nishikeni mkono

    Ubarikiwe mkuu
Back
Top Bottom