Recent content by kinsakina

  1. K

    JamiiForums Tanzania Dr. Malasusa nia yako ni kuiua Chuo Kikuu Tumaini Makumira, miezi 3 wahadhiri na wafanyakazi hawajalipwa mishahara, mnategemea wanaishije?

    KKKT ni kampuni ya kisiasa tu,sadaka wanazopokea wanapeleka wapi
  2. K

    JamiiForums Tanzania Heche: Nimemsikia yule mtoto Kenani Kihongosi eti anataka mdahalo na mimi, nikimuuliza Polepole na Nchimbi wako wapi atanijibu..?

    Hiyo tone ni hela zetu tunempa heche ale,anywe bia mpaka zimkome sio za kodi hizo
  3. K

    JamiiForums Tanzania Makonda: Tukisema jezi ni mbaya mnatupeleka Mahakamani? Hatuna haki ya kutoa maoni?

    Leo ndo amejua katiba imaruhusu kujieleza,sasa kwanini mnateka na kupoteza watu wanapotoa maoni yao
  4. K

    JamiiForums Tanzania Poleni jeshi la polisi kwa msiba huu mzito

    miili ya vijana wetu waliouwawa iko wapi,wangejibu kabla hawajafaa vinginevyo mola hatawaacha salama
  5. K

    JamiiForums Tanzania Chama cha Madaktari Tanzania watoa Tamko Juu ya Kukamatwa kwa Dkt. Conrad Agonza Kahyoza

    Polisi wasituchanganye hapa ,ilikuwaje dakatari akapata majera wakati wao wanamshitaki kwa kumpiga polisi,inammana na yeye alijipiga mwenyewe
  6. K

    JamiiForums Tanzania Dar: Conrad Agonza Kayoza aliyeshambuliwa na Trafiki, kufikishwa mahakama ya Kinondoni leo

    Hizi rushwa ni aibu kwa jeshi la polisi ,ni wananjaa vibaya sana,siungemuandikia faini atalipa baadae
  7. K

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Polisi wamempiga daktari mwenzetu mpaka kalazwa ICU

    Hakuna kupoteza muda tumia utaalamu wako,we ndo daktari mwenyewe kila mtu amwogope mwenzie
  8. K

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Uhaini dhidi ya Lissu: Brenda aendelea kutoa ushahidi

    Common wealth ilishasema kesi ni ya uwongo na lisu aachiwe bila masharti lakini bado wanalazimisha uongo kwa sababu wanamiliki mahakama
  9. K

    JamiiForums Tanzania Kuna Mwanamke alinikataa kabisa baada ya Mimi kijitambulisha kwake ni mwalimu

    Hadith Hadith njo hapo zamani za kale
  10. K

    JamiiForums Tanzania Je ni sahihi kuchukua barua alioandikiwa mtu fulani kwa kutajwa jina lake kabisa na kusema ni ya kwako ? case study biblia

    Quaran imeandikiwa kiarabu ,je waswahili ni waarabu,ni wazi iliandikwa kwa waarabu
  11. K

    JamiiForums Tanzania Kumfukuza mtu aliyeamua kujiuzuru ni Akili au Matope!

    Haiwezi kufuta heshima ya nchimbi
  12. K

    JamiiForums Tanzania Dkt. Emmannuel Nchimbi afukuzwa uanachama wa CCM

    Nyerere alitabiri haya ,ccm sio mama yangu
  13. K

    JamiiForums Tanzania Katibu UDASA: Dkt. Kaijage aliniambia Mkipata nafasi msaidieni mke wangu

    Wanajali matumbo yao
Back
Top Bottom