Recent content by Kingz

  1. Kingz

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    niipo. ..sema tight mbaya..nacheza mara chache sana nkipata tym ..mara 1 au 2 kwa mwezi.kila la heri kwa wote jmaani
  2. Kingz

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Zawadi za boxing day..hapa lazima kanji atafungua tu hta moja mbili (option 2-4, I1+, II1-2, II1+)
  3. Kingz

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    2-4 jumla ya magoli ianzie 2 mpaka nne mfano 2-0 3-1... 0-27 goal la kwanza lipatikane ndani ya dkika 27 za mwanzo I1+ goli la kwanza lipatikane ndani ya kipindi cha kwanza
  4. Kingz

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Sio kweli mikeka yote hii alafu timu zisepe na kijiji..walau mmoja jamani utiki
  5. Kingz

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Kokoro eeeeh kokoro nabetia nyumbani kokoro eeeh nabetia online Kokoro eeeh nabetia meridian
  6. Kingz

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    1st half goals 1+ odds 100.8 Gg & 3+ odds 1297 2-4 m8 odds 4214
  7. Kingz

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Ipo meridian...premier haipo
  8. Kingz

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Total goals 2-4 odds 417 1st half 1+ odds 388
  9. Kingz

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Ni.mwendo wa kokolo tu wa kwanza kasoro team 3 ilikua 3333 kwa m1 wa pili majaribio 600 kwa m8..
  10. Kingz

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Wa kwanza Oddz 317 after tax... wa pili maalum kwa ajili ya ndugu mmoja humu alikua anataka mkeka wa millioni...huo odds 12000 aeke 100 tu apate 1.2m
  11. Kingz

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Tarehe 27/9 mwaka jna nlitusua hpahpa kupitia thread hii hii..em na leo nione kma bahati inakuja mara mbili..happy bday mil 5
  12. Kingz

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Nilijua tu hii wiki ya kwanza lazima kanji abatize kwa moto..Ntarejea wiki ijayo asee
  13. Kingz

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Dawa ni kuchkua tatu tatu tu kumbe leo imenisaidia sana
Back
Top Bottom