Recent content by kingSuley87

  1. kingSuley87

    JamiiForums Tanzania Ushauri wenu wadau

    Kiukweli kama ni kimapenzi tu umri wala sio tija ila Kama ni kwa maslai flani Badae italeta shida
  2. kingSuley87

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mwanamke ambaye Mungu akipenda atakuwa mke wa maisha yangu

    Si Lazima kuzaa nachohitaji ni Faraja ya moyo wangu Hayo mengine ni majaliwa ya Mola
  3. kingSuley87

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mwanamke ambaye Mungu akipenda atakuwa mke wa maisha yangu

    Hahahahahahaaaaaa sawa Mkuu Mungu atasaidia
  4. kingSuley87

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mwanamke ambaye Mungu akipenda atakuwa mke wa maisha yangu

    Ndiyomaana nikaweka hadharani Kwa muhitaji
  5. kingSuley87

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mwanamke ambaye Mungu akipenda atakuwa mke wa maisha yangu

    Walijitokeza ila vigezo hawakukidhi
  6. kingSuley87

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Leo nimetua DSM baada ya likizo

    Hahhahahaaaaaaaa ndugu Mimi nikushauli kitu ulipokanyaga tu bogo ulikuta watu mi nadhani ungeanza nahao kwanza kujadili kuhusu hiyo Tanzania ya viwanda,isitoshe wewe kama vile nilikuonaga KIBITI au nimekufananisha.
  7. kingSuley87

    JamiiForums Tanzania Single fathers and mothers njooni tujenge familia

    Mimi ni single father
  8. kingSuley87

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ewe mdada hasa msomi utazeekea kwenu unasubiri mume mwenye pesa, kazi nzuri na nyumba, huku kwenu ni makapuku

    Kiukweli ulichosema ni sahihi kabisa yani unakuta mtu anaitaji mweza lakini mavigezo kibao,mmmh ila sijui
  9. kingSuley87

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mwanamke ambaye Mungu akipenda atakuwa mke wa maisha yangu

    Nimejibu PM
  10. kingSuley87

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mwanamke ambaye Mungu akipenda atakuwa mke wa maisha yangu

    OK but tutambuwane ili kila mmoja aridhie kuwa na mwenzie
  11. kingSuley87

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mwanamke ambaye Mungu akipenda atakuwa mke wa maisha yangu

    Sijajiunga kwenye PM naomba nielekeze nifanyeje!?sifanyi makusudi kweli ninahitaji mke
  12. kingSuley87

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mwanamke ambaye Mungu akipenda atakuwa mke wa maisha yangu

    Jamani nipo serious
  13. kingSuley87

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mwanamke ambaye Mungu akipenda atakuwa mke wa maisha yangu

    Basi uwe umejiajili au wajishugulisha out of that ujiandae kutafutiwa cha kufanya yani kukufungulia hata biashara
Back
Top Bottom