Marafiki habari za kuhaingaika,
Kwetu tumezaliwa wawili tu mapacha, Mimi na dada yangu, baba yetu alikua mkali na mkoloni sana hatukuruhusiwa kutoka nje kabisa labda shule tu na tulienda na Gari la nyumbani
Tulikua tukiishi mkoani na ilikua ni mwishoni mwa miaka ya tisini.
Tukiwa form six...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.