Wanafunzi wa shule ya sheria kwa vitendo kwa Cohort ya 40 &42 wamejikuta katika TAHARUK mara baada ya kukutana na Taarifa katika akaunti zao za chuoni hapo (Lawsaris) ambazo zinatumika pia kupata taarifa za matokeo yao. Taarifa hiyo ambayo inasadikika kutolewa na Uongozi wa Chuo ikiwasilisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.